Pata nafasi ya kuweza kuusikiliza ama kuudownload wimbo mpya wa Rich Mavoko uliopikwa ndani ya studio za mazuu chini ya producer Mazuu.
"kama unakumbuka wimbo huu ulitakiwa kutoka wiki iliyopita, lakini
ilishindikana na kutokana na hali ilivyo kwasasa safari za show zimekuwa
nyingi na ukiangalia kesho pia nasafiri, basi imenibidi niitoe leo".
amesema Mavoko
Mohamed Jaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment