Baada ya kukaa mwaka mmoja na nusu bila kuachia ngoma, stereo
amedondosha mzigo mpya "Haina Ngwasu" aliofanya mwenyewe mwanzo mwisho
na uliojaa puchlines zinazokutaka kukaa chini kumsikiliza ndio umuelewe
anachokimaanisha...hiphop imelala vina vya hatari sio vya kuunga
unga....anyways nisijeonekana nampamba sana mpe sikio lako hapo chini.

No comments:
Post a Comment