Breaking News
recent

Hii ndio picha ya Mtoto wa Kanye na Kim "North West"

Kanye west leo hii kwa mara ya kwanza ameonyesha picha ya mtoto wake na Kim Kardashian " North West" katika kipindi cha television cha Kris Jenner ambae ni mama yake na Kim.

 Mwanzoni Kim na Kanye walikuwa na ubishani juu ya kutumia picha ya mtoto wao kupata pesa kwa ajili ya charity, lakini inaonekana Kanye ameona kupitia kipindi cha mama mkwe wake ndio poa..maana ni kipindi kipya
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.