Unaweza ukaona kama drama za kutafuta akili na watu kuanza kuwazungumzua midomoni mwao lakini ni kweli kabisa ukiangalia video hii,Producer nguli nchini marekani Dj khaleed jana kwenye camera za Mtv amefunguka kumzimikia Mwanadada wa Kundi moja YMCMB,Nicki Minaj na kufikia hadi hali ya kumuomba amuoe...tizama video hii kuona mnyamwezi akifunguka vilivyo.....!!
DJ Khaled makes a very special offer to Nicki Minaj
Unaweza ukaona kama drama za kutafuta akili na watu kuanza kuwazungumzua midomoni mwao lakini ni kweli kabisa ukiangalia video hii,Producer nguli nchini marekani Dj khaleed jana kwenye camera za Mtv amefunguka kumzimikia Mwanadada wa Kundi moja YMCMB,Nicki Minaj na kufikia hadi hali ya kumuomba amuoe...tizama video hii kuona mnyamwezi akifunguka vilivyo.....!!

No comments:
Post a Comment