Breaking News
recent

Rafa Benitez atambulishwa kama kocha mpya wa SSC Napoli

Raisi wa Napoli Aurelio De Laurentiis akimtambulisha kocha mpya wa timu hiyo Rafa Benitez 

 Rafael Benitez ametambulishwa na kusema kwamba angependa kuendelea kubaki na mshambuliaji Edinson Cavani anyewaniwa na vilabu vya Chelsea, Man City na Real Madrid ambao Raisi wa klabu hiyo Aurelio amesema kwamba ndio klabu pekee iliyoonyesha utayari wa kulipa fedha inayotakiwa kumnunua Cavani
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.