Breaking News
recent

Fid Q kupiga collabo na Jay Dee

Rapper Fid Q kutoka Mwanza city ambae kwa mara ya mwisho umemsikia kwenye ngoma ya Stamina inayoitwa ”Wazo La Leo”, Latest info kutoka kwake ni kwamba jana alikuwa studio akirekodi ngoma yake mpya akiwa na Mwanadada Lady J Dee.

Hizi ndizo tweets zao ambazo ziliweza kutupa habari hizo kwamba Lady J Dee na Fid Q wako studio na Producer Dunga wakianda ngoma yao mpya.


Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.