Breaking News
recent

Picture: Huyu ndiye Mrembo aliyeuawa na Mpenzi wake mwana riadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius

Huyu ndiye mchumba wa mshindi wa medali ya dhahabu wa riadha ya walemavu huko nchini Afrika Kusini,Oscar Pistorius,
Leo asubuhi kupitia katika mitandao mbalimbali ya habari iliripoti kwamba mwanaridha huyo Pistorious alidhani jambazi ameingia katika nyumba yake na kujikuta amefanya mauaji kwa mpenzi wake Reeva Steenkamp ambaye ni mwanamitindo wa nchini Afrika Kusini.

                             Reeva Steenkamp enzi za uhai wake na Oscar Pistorius
 Mtuhumiwa: Oscar Pistorius akiwa ameinama na kufunika kichwa, akitoka kituo cha polisi cha Boschcop, Pritoria, akielekea hospitali kwa ajili ya vipimo vya damu kabla ya kupelekwa mahakamani.
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.