Breaking News
recent

Hii ndiyo Pete ambayo Linex amemvisha mchumba wake

Weekend hii, mtu mzima Sunday Mjeda aka Linex aka Mr VOA (Voice Of Africa), alifanya yake kwa kumvisha pete mpenzi wake, ambae ni  mwenyeji wa Finland anaeitwa Suvi. Linex aliamua kufanya kimya kimya tena wakiwa wawili tu, kwasababu hakutaka kujionyesha, na anaamini ile ni kitu very personal haikuhitaji manjonjo mengi...all in all blog hii ya mohamedjaku inakutakia kila la kheri

Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.