Breaking News
recent

Samsung kutoa simu inayojikunja kama karatasi bila kuvunjika

Screen inatumia technolojia ya  OLED- organic LED kama smart phone nyimgi za sasa lakini ikiwa kwa mfumo wa plastic badala ya glass.
Samsung wamewashangaza watu sana wiki hii, huko Las Vegas kwa screen ya sim inayofanya kazi na yenye uwezo wa kujikunja kama karatasi.
screen inaendelea kufanya kazi licha ya kukunjwa  na kukunjuliwa, wakionyesha kuwa ni bora zaidi kuliko screen zinazokunjika pekee
Mohamed Jaku

Mohamed Jaku

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.