Baada ya Aunt Ezekiel na Wema Sepetu kutuonesha maungo yao jukwaani sasa ni zamu ya Diamond Platnumz nae kutoa yake kali kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu, kwa mtaji huu ipo siku msanii fulani atakuja kujinyea jukwaani na watu tukakaa kimya.....!
No comments:
Post a Comment