Ni siku 13 tu zimepita toka millardayo.com
iandike stori kutoka Nigeria kuhusu mama anaedai kujifungua mtoto wa farasi.
Leo stori nyingine iliyoandikwa na mtandao
wa Naijagists inamuhusu mwanamke anaedai kujifungua mtoto aliezaliwa kama
binaadamu lakini ana miguu na tumbo kama la mbuzi.
Hili tukio limetokea sehemu inaitwa Jahun,
Jigawa State, Nigeria ambako huyu mtoto amezaliwa akiwa hana shingo pia.
Mama wa huyu mtoto anasema hii ni mara ya
nne yeye kujifungua watoto wenye maumbo ya ajabu.
Mpaka mara ya mwisho nimechek na
Naijagists mtoto huyu alikua amelazwa kitandani hospitalini, millardayo.com
inaendelea kufatilia, kikitokea chochote utafahamu kupitia hapa.


No comments:
Post a Comment