Nani kasema kazi yakuchekesha/mziki hauilipi? inalipa na ina soko
kubwa sana. mkali wa comedy na kuimba tanzania sharo milionea amenunua gari
lenye thamani ya shilingi milioni 15 za kitanzania aina ya Opa.Chata ya kitambulisho chake ya kuchekesha cha oooooh maaamaa!
Sharo Millionea anunua gari la millioni 15...!
Gari aina ya Opa ya Sharo inavyoonekana kwa mbele

No comments:
Post a Comment