Manager wa Manchester United Alex Ferguson ametangaza
rasmi kwamba anamuhitaji mchezaji wa Arsenal Robin Van Persie kwenye kikosi
chake.
Sir Fergie ameamplfy kwamba japo mkali
huyu wa soka anatakwa na club nyingine ikiwemo Manchester City na Juventus, ni
wazi kabisa Manchester
nayo inamtaka baada ya kusema hatoongeza mkataba wake na Arsenal unaokaribia
kuisha.
Robin Van Persie ambae ana miaka 28 toka
apewe ruhusa ya kuishi kwenye hii dunia ameichezea Arsenal toka mwaka 2004 na
mpaka sasa kaifungia magoli 96 na kwenye timu zake za taifa (Netherlands)
amezifungia magoli 30 toka aanze kucheza nazo mwaka 2001.

No comments:
Post a Comment