Rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor ahukumiwa miaka 50 jela
Mahjaji katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC
wamemuhukumu kifungo cha miaka 50 jela Raisi wa zamani wa Liberia baada
ya kukutwa na makosa 11 ya kuwasaidia waasi wa Siera leon na kusababisha
vifo vya watu zaidi ya 50,000 kwa kuwapa silaha na kubadilishana na
almasi.Taylor amekuwa ni raisi wa kwanza kuhukumiwa na mahakama hiyo
tangu vita vya pili vya dunia na atatumikia kifungo hicho katika gereza
la uingereza.

No comments:
Post a Comment