Mnamo tarehe 22/05/2012 katika uwanja wa Allianz Arena huko Germany ulichezwa mchezo mmoja wa Friendly kati ya timu ya Club ya Bayern Munich ya Germany na timu ya taifa ya Netherland (Dutch) na matokeo ya mechi hiyo yalikua 3-2 tukishuhudia timu ya Club ya Bayern ikiitandika timu ya taifa ya waDutch, mabao hayo 3 na wao waDutch wakipata mabao 2...!
No comments:
Post a Comment